SITAKI KWENDA KEKO
Abasingle shine na Trezoo ni wasanii wa bongo flaver, wasanii hawa ni chipukizi lakini wanakishindo kikubwa cha kumshusha Diamond chini na kuchukua nafasi yake. Wasanii hawa wameachia nyimbo mpya iitwayo sitaki kwenda keko. Nyimbo ni nzuri na kwasasa inapatikana kwanye internet na ring tone pia, toa sapoti yako kwa kusukuma mxiki wa bongo mbele ili ufike mbali zaidi.
Abasingle shine na Trezoo
Post a Comment