0
TUMIA MUDA HUU WA KUMSIKILIZA A.Y NA CPWAA KATIKA KUWANIA TUZO ZA CHANNEL O VIDEO MUSIC AWARDS 2012
Ni moja kati ya wasanii ambao wanafanya vizuri katika game la muziki hapa Tzee hata nje ya Tzee huyu si mwingine ni A.Y msanii huyu tunafahamu kwamba mwaka huu ametajwa katika kuwania tuzo za Channel O Music Video awards.Sasa basi hapo chini kuna video ambazo A.Y pamoja na Cpwa wanatiririka katika kuwania tuzo hizo ebu wasikilizee na wanahitaji support yako wewe mtanzania.

Post a Comment

 
Top