WAISLAM WAZUA UTATA DAR
Kumekuwa na vurugu kubwa katikati ya jiji la Dar Es Salaam, baada ya Polisi kujaribu kuzuia maandamano yaliyotaka kufanywa na watu wanaosemekana ni waumini wa Dini ya Kiisilam.
mpaka sasa waislam wanaendelea kupambana na polisi baada ya kuzuiliwa kwa maandamano yao, wameanzia kaliakoo kupambana na maasikali hadi kufikia kuwashinda kwa kuwazidi nguvu maasikali na kuzida kusonga mbele. kwa sasa wamefika makondeko wakitokea kaliakoo.
kwa upande wa maasikali nao wameongeza mapolisi kwa wingi magali kwa magali kwa kupambana na waislam hao
ndivyo ilivyo huku kwetu maeneo ya kaliakoo kwa sasa hapakaliki, panazidi kuchafuka kila baada yadakika inavyozidi kusonga mbele. Inefikia hatua wakazi wa kaliakoo wamebidi waame au kuamisha ndugu zao kwa muda mpaka hali itapo tulia maana bado hali si shwali hata kidogo
Post a Comment