0
Brigitte Alfred akiwa na furaha baada ya kutangazwa rasmi kuwa ndiye mshindi wa miss Tanzania 2012 jana katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.
Mshindi wa Miss Tanzania 2012 Brigitte Alfred (katikati)katika picha ya pamoja na mshindi wa Pili Eugene Fabian (kushoto) na Mshindi wa Tatu, Edda Sylvester, Brigitte anatokea Kitongoji cha Sinza na Kanda ya Kinondoni wakati, Eugene Mkoa wa Mara na Kanda ya Ziwa, Edda ni Miss Kigamboni na Kanda ya Temeke.

Post a Comment

 
Top