0
Abasingle Shine aja na nyimbo yake mpya inaitwayo Dastubin. Nyimbo hii imetengenezwa na producer aiywaye Fundi samweli studio Usanii production ipo kibaha town. Nyimbo inaitwa Dastubin inamaadhi ya RnB msanii anaitwa Abasingle shine.

Post a Comment

 
Top