
Kupitia U Heard na Gossip Cop leo, madam Ritta aongea juu ya tetesi kuwa yupo katika mipango ya kumfungulia mashtaki Ney na kumdai shililing million 500 pamoja na ku-record albam nzima kwa kumsafisha jina lake baada ya kumchafua
Madan Ritta alikuwa akiongea kwenya U Heard ya Clouds FM leo ambapo amezikanusha tetesi zilizopo mtaani kuwa amemfungulia kesi ya 'defamation' Ney kutokana na fuzusha kwenye wimbo huwo kuwa washindi huwa awalipwi fedha zote.
"Hata muda wa kuongelea hicho kitu naona ni wastage of time. He is not worth my time" alisema Ritta.
Hata hivyo, Madam Ritta alisema Ney ni mbunifu na ametumia fulsa hiyo kuimba wimbo uliokuwa gumzo baada ya kutoka.
"He is creative, very creative you man." Amesema hana tatizo kama ney akiparfom kwenye show hiyo na hakihuimba huo wimbo.
Post a Comment