
Hivi karibuni tulisikia nyimbo collabo iliyofanya vizuri kati
ya AY,F.A &J martins toka Nigeria,
Ngoma inafahamika kama KUNJA GOTI,
Lakini hapa nipo kukujuza zaidi shabiki wa AY & F.A
kuwa jamaa hawa wapo nchini South Africa
huko wameungana na Msanii J.Martins toka Nigeria na wapo kikazi zaidi
kuwaletea watanzania Mahakuli yanayopikwa saawia
kabisa nikimanisha Kichupa cha Cheza Bila
Kukunja Goti kinatakamilika and Soon tutakiona kwenye
Televisheni zetu,So watu wangu wa kweli
Kaeni Mkao wa Kula kusubiria kichupa hiki
kinachosimamiwa na Production ya kutoka
nchini South Africa........

Hawa ndio wanyamwezi wanaosimamia mzigo huu nchini South Africa.....

Kwa mbali waeza mcheki Msanii AY
akifanya yake mbele ya Camera....
Post a Comment