PML AJA NA DAKIKA 75
Msanii wa kizazi kipya aitwa PML aanza kutatiza wasanii wa hip hop wa bongo baada ya kuachia nyimbo yake mpya iitwayo dk. 75 ambayo inaendelea kufanya vizuri kwanye vitua mbalimbali vya redio na hata kwenya mitandao ya tz. PML ni msanii chipukizi anaye fanya staili ya HIP HOP, kwa sasa yupo kwenye maandalizi ya video ya nyimbo hii ya dk. 75, kaa tayari kwa video ya PML na kusapoti mziki wa bongo ufike mbali zaidi.
Post a Comment