DIAMOND ASAINI MKATABA NA I-VIEW
Msanii maarufu wa kizazi kipya Tanzania aitwaye Diamon kwasasa amesaini mkataba na kampuni ya I-VIEW inayoongozwa na Raqey ambayo itachukua jukumu la kumsimamia Diamond kila kitu kwenye kazi zake za muziki
Hapa wakikabidhiana mkataba baada ya kusaini. Kwa sasa kazi zote za Diamond zitasimamiwa na campany hii ya I-VIEW kuanzia mavazi, video pamoja na shows.
Post a Comment