ROZEY FEKI AACHA GUMZO DER
Rick Ross wa Bongo anayefanana na Rick Rozey original aacha utata baada ya kujipiga picha na kujiweka mtandaoni na kuandika RICK ROSS bado niko dar na ninategemea kesho kwanda ngorongoro kuangalia mbuga za wanyama. Hopo ndipo palipaanzia utata kwa kuwa watanzania wanajua kwamba Rick Ross wa obama ameshaondoka na kukuta taarifa kuwa eti bado hupo. Ndio habari ya mjini kwasasa.
Hapa ni Rick Ross feki akiwa na dj fetty. huyu ndio Rick Ross feki alieacha midomo wazi watanzania kwa kufanana kwake kuanzia mavazi adi muonekano wake kama mkubwa THE BOSS
Post a Comment