0
Msanii maarufu Tanzania kwajina anaitwa Nasib Abduri aka Diamond hadhi yake ya usanii imeshuka baada ya kuvua nguo jukwaani kwenye shoo ya Fiesta Dar mbele ya msanii maarufu duniani Rick Ross Baada ya kitendo hiko story ilizagaa kwa mda mfupi na msanii huyo akanza kudharirika kwa kitendo kile sio hayo tu bali hata wasanii wenzake hawakupendezwa na kitendo hicho.
Msanii Diamond Platnam alipo vua nguo jukwaani

Post a Comment

 
Top