0
Joh Makini afanya video ya nyimbo yake mpya iitwayo "SIJUTII" chini ya campuni ya Adam Juma visual lab ambayo inatabiliwa kuwa kali na yenye kuleta mapinduzi ya video hasa za hip hop hapa bongo. Joh asema watanzania wakae tayari kwa kuangalia video yake hii mpya kwa kuwa iko mbioni kutoka kwa sasa iko kwenye taratibu za mwisho ili itoke.
GMF kwenye location
Makini Nisher Bell. WEUSI IN GMF

Post a Comment

 
Top