PICHA ZA WASANII 6 KABLA HAWAJAWA MASTAA
Waswahili wanasema hata mbuyu ulianza kama mchicha. Maisha mazuri waliyonayo mastaa hawa leo hii, hayakupatikana ndani ya siku,mwezi ama mwaka mmoja. Ni safari ndefu iliyokuwa na kila aina ya vikwazo na kukata tamaa.
Juhudi na vipaji vyao ndivyo vilivyowafanya leo hii wawe ‘soga za mjini’ na waonekane waking’aa.
Hizi ni picha zinazowaonesha kabla hawajatoboa na kuwa nyota wa muziki.
1.Joseph Mbilinyi, mbunge wa Mbeya mjini na msanii wa Hip hop
2.Rehema Chalamila aka Ray C
3. Linah Sanga
4.Ambwene Yessaya aka AY
5. Diamond
6.Juacali na Nonini
Posted in Jarx Dizyner
Post a Comment