CHECK OUT: LORD EYEZ AKIWA NA WAKILI WAKE WAKIFUNGUKA KUHUSIANA NA TUHUMA ZA WIZI
Huyu ni Wakili wa Lord eyez, Bwana Peter kibatala akiongea kuhusiana na Tuhuma za wizi alizopata Lord eyez kutoka kwa Ommy dimpoz katika Press Conference iliyofanya maeneo ya Sinza Mapambano
Jamani wana Hip Hop wote bila kusahau watu wa Arusha tutoe saport kubwa kwa mwenzetu Lord eyez japo nasikia John Makini kampotezea kiainna. Tuonyeshe saport kwa msanii mwenzetu
ReplyDelete