1
Yego Company imeandaa tour kubwa kwa wasanii wa kibongo itwayo C-FEZA MAMBWE MUSIC TOUR itayofanyika mjini Lusaka Zambia. Kwa bongo C-ZEZA ataipepelusha bendela ya Tanzania pamoja na wasanii wengine kibao kwa opande wa nchini Zambia watawakilishwa na wasanii kama P-JAY,FEST GEJI na wengine wengi kutoka mjini Lusaka nchi ya Zambia.
Yego Company ni wadau wakubwa wa kusapot mziki wa bongo ili uweza kufika mbali zaidi ya hapa tulipo

Post a Comment

  1. Yego Campany kuandaa tour nchini zambia ni moja ya kupiga atia ya wasamii kwa kuusogeza mziki wa kibongo mbali na hapa tulipo.

    ReplyDelete

 
Top