C - FEZA TOUR
Yego Company imeandaa tour kubwa kwa wasanii wa kibongo itwayo C-FEZA MAMBWE MUSIC TOUR itayofanyika mjini Lusaka Zambia. Kwa bongo C-ZEZA ataipepelusha bendela ya Tanzania pamoja na wasanii wengine kibao kwa opande wa nchini Zambia watawakilishwa na wasanii kama P-JAY,FEST GEJI na wengine wengi kutoka mjini Lusaka nchi ya Zambia.
Yego Company ni wadau wakubwa wa kusapot mziki wa bongo ili uweza kufika mbali zaidi ya hapa tulipo
Yego Campany kuandaa tour nchini zambia ni moja ya kupiga atia ya wasamii kwa kuusogeza mziki wa kibongo mbali na hapa tulipo.
ReplyDelete