LEO NAWATAMBULISHA DAGES WEDDING
PARLOUR NI WAPAMBAJI WA MAARUSI WENYE UZOEFU WA MUDA MREFU KATIKA TASNIA
HII, WANA SEHEMU MAALUM KWA AJILI YA MABIARUSI ILIYOTULIA NA WAFANYKAZI
WAZOEFU, WANATUMIA PRODUCTS ORIGINAL ILI KUKUPENDEZESHA WEWE BI ARUSI,
MBALI NA WEDDING PARLOUR WANA DUKA LA NGUO ZA MAARUSI NA ACCESSORIES ZA
MAARUSI, PIA KUNA DAGES SCHOOL OF HAIR DRESSING, HAPA WANAFUNDISHA WALE
WOTE WENYE MAPENZI YA KUJUA KWENYE TASNIA HII YA UREMBO, CHUO
KIMESAJILIWA NA VETA NA WAALIMU WENYE UZOEFU KATIKA MADHARI ILIYOTULIA,
FORM ZA KUJIUNGA ZINAPATIKANA SHULENI SINZA AFRIKA SANA, ZAMA NDANI
KUONA ZAIDI
WANAPATIKANA:: SINZA-AFRIKA SANA
MAWASILIANO:: +255 713 413 663 \ 787 413 663
HII NDIO SEHEU MAALUM KWA AJILI YA MABIARUSI TU, IWE NI KITCHEN PARTY,
SENDOFF AU RECEPTION UNAHUSIKA KUINGIA HAPA, UMEONA MDAU EEH FULL AIR
CONDITION....!!! MAMBO NI MANZURI TULIA...
MAARUSI WAKIWA WANAPAMBWA KUANZIA NYWELE...!!!
PACKAGE YAO NI FULL UNAFANYIWA PADICURE NA MANICURE SIKU YAKO LAZIMA UWE MSAFI....!!!
PICHA MBALIBALI ZA MAARUSI WALIOPAMBWA KWAO...!!!
NI WAUZAJI NA WAKODISHAJI WA NGUO ZA MAARUSI ZENY UBORA NA BEI POA
Post a Comment