0
LEO NAWATAMBULISHA DAGES WEDDING PARLOUR NI WAPAMBAJI WA MAARUSI WENYE UZOEFU WA MUDA MREFU KATIKA TASNIA HII, WANA SEHEMU MAALUM KWA AJILI YA MABIARUSI ILIYOTULIA NA WAFANYKAZI WAZOEFU, WANATUMIA PRODUCTS ORIGINAL ILI KUKUPENDEZESHA WEWE BI ARUSI, MBALI NA WEDDING PARLOUR WANA DUKA LA NGUO ZA MAARUSI NA ACCESSORIES ZA MAARUSI, PIA KUNA DAGES SCHOOL OF HAIR DRESSING, HAPA WANAFUNDISHA WALE WOTE WENYE MAPENZI YA KUJUA KWENYE TASNIA HII YA UREMBO, CHUO KIMESAJILIWA NA VETA NA WAALIMU WENYE UZOEFU KATIKA MADHARI ILIYOTULIA, FORM ZA KUJIUNGA ZINAPATIKANA SHULENI SINZA AFRIKA SANA, ZAMA NDANI KUONA ZAIDI
WANAPATIKANA:: SINZA-AFRIKA SANA
MAWASILIANO:: +255 713 413 663 \ 787 413 663

 HII NDIO SEHEU MAALUM KWA AJILI YA MABIARUSI TU, IWE NI KITCHEN PARTY, SENDOFF AU RECEPTION UNAHUSIKA KUINGIA HAPA, UMEONA MDAU EEH FULL AIR CONDITION....!!! MAMBO NI MANZURI TULIA...
 MAARUSI WAKIWA WANAPAMBWA KUANZIA NYWELE...!!!
 PACKAGE YAO NI FULL UNAFANYIWA PADICURE NA MANICURE SIKU YAKO LAZIMA UWE MSAFI....!!!
 WANA JIKO SPECIAL KWA AJILI YA CHAKULA CHA MAARUSI, UKIONDOKA PALE UMESHIBA...!! MENU ZA UHAKIKA WAPISHI WENYE EXPERIENCE
 PICHA MBALIBALI ZA MAARUSI WALIOPAMBWA KWAO...!!! 
 NI WAUZAJI NA WAKODISHAJI WA NGUO ZA MAARUSI ZENY UBORA NA BEI POA
 DAGES SCHOOL OF HAIR DRESSING
 HAPA NIMEVUTIWA NAPO SANA, WASICHANA WANAJIVUFANZA KAZI ZA SALOON, WAALIMU NI WAZOEFU KAT IKA KAZI HII, NILIPATA MUDA WA KUSHUHUDIA WANAFUNZI WAKIFANYA KAZI ZAO VINZURI KATIKA HATUA WALIOFIKIA, UTENGENEZAJI WA KUCHA PAMOJA NA KUPAKA RANGI, KUSAFISHA MIGUU NA MIKONO....
 SEHEMU HII WANAFUNZIA WALIBANA MIDOLI STYLE ZA NYWELE TOFAUTI KWA CONFIDENCE ....
 CHINI YA USIMAMIZI WA WALIMU
 MWANAFUNZI AKIWA KTIKA HATUA YA MWISHO
 KAZI ZAO ZIKIWA TAYARI KUSUBIRI UKAGUZI WA MWALIMU
 MAKEUP
HILI SOMO NILILIPENDA SANA KWANI MPAKA SASA KUNA SALOON ZINAWAHARIBU SURA MABIARUSI BADALA YA KUWAPENDEZESHA KUNAKOPELEKEA KUMKOSESHA RAHA BI ARUSI, DAGES SCHOOL OF HAIR DRESSING WANATOA NAFASI WEWE MWENYE SALOON AMBAYE UNATAKA KUFANYA KAZI YAKO NZURI UKAJIFUNZE, TUNA WASAIDIZI WETU NYUMBANI UKIPENDA KUMUENDELEZA UNAKARIBISHWA,  HATA WEWE MDAU UNAYEPENDA KUENDEZA UNAWEZA KUJIUNGA NA DAGES SCHOOL OF HAIR DRESSING.
 HUYU NI MWANAFUNZI KABLA HAJAPAMBWA
 AKIPAMBWA NA MWANAFUNZI MWENZAKE, HUKU SUPERVISOR AKIMUONGOZA
 PICHA YA BAADA YA KUFANYIWA MAKEUP
 BEFORE-HUYU ALIPAMBWA NA KUBANA NYWELE
 BAADA YA KUPAMBWA NA KUBANA NYWELE
 KABLA MAKEUP NA NYWELE
 
 BAADA-MAKEUP & HAIRSTYLE
HUYU ALIFANYIWA MAKUP NA KUBANA NYWELE, YEYE NI NATURALISTA
 AKIFANYIWA MAKEUP
 MWALIMU AKITOA SOMO LA JINSI YA KUMBANA NYWELE BI ARUSI AU MAIDS AMBAO WANA NYWELE FUPI NA HAZINA DAWA
 HATUA YA PILI
 BAADA YA MAKEUP NA KUBANA NYWELE
 MWALIMU AKIFUNDISHA AINA ZA NYWELE
 HAWA NI WANAFUNZI AMBAO WANAKARIBIA KUHITIMU

Post a Comment

 
Top